Luke 12:48-49

48 aLakini yeyote ambaye hakujua naye akafanya yale yastahiliyo kupigwa, atapigwa kidogo. Yeyote aliyepewa vitu vingi, atadaiwa vingi; na yeyote aliyekabidhiwa vingi, kwake vitatakiwa vingi.

Yesu Kuleta Mafarakano

(Mathayo 10:34-36)

49 b “Nimekuja kuleta moto duniani; laiti kama ungekuwa tayari umewashwa!
Copyright information for SwhNEN